Skip to main content
Skip to main content

Mwalimu mmoja Nairobi ageukia bodaboda licha ya kuhitimu chuo kikuu cha Nairobi

  • | Citizen TV
    1,019 views
    Duration: 3:43
    Darubini yetu inaelekezwa kwa kitendawili cha uhaba wa walimu na idadi ya walimu wasio kazi ambako mwalimu mmoja hapa Nairobi sasa amelazimika kugeukia kazi ya bodaboda licha ya kuhitimu na shahada ya ualimu. Elijah Ombuki alisomea chuo kikuu katika shule ya kitaifa ya Lenana na kisha kujiunga na chuo kikuu cha Nairobi, ila sasa ameishia kuendesha bodaboda kukidhi mahitaji yake ya maisha. Brenda Wanga anaarifu kuhusu masaibu ya mwalimu huyu anayewakilisha zaidi ya walimu laki tatu wasio na ajira.