Skip to main content
Skip to main content

Kampeni dhidi ya ndoa za mapema za watoto Samburu

  • | Citizen TV
    272 views
    Duration: 3:15
    Huku ndoa za mapema zikiendelea kuzua hofu miongoni mwa eneo la kaskazini mwa Kenya, baraza la wazee wa jamiii za Wagabra na Wasamburu leo wamekongamana mchana kutwa katika juhudi za kutafuta suluhu ya tatizo hili. Kwenye mkutano huo uliofanyika kaunti ya Samburu, wazee hawa wameafikiana kufanya jitihada zaidi kumaliza kabisa tabia za kuozesha watoto wa kike kabla ya kutiu umri.