Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Nairobi Sakaja asaini mkataba wa ushirikiano na serikali ya rais Ruto

  • | Citizen TV
    716 views
    Duration: 4:58
    Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja hatimaye ametia saini mkataba wa ushirikiano na serikali ya kitaifa ambayo sasa itatekeleza baadhi ya majukumu yake. Mkataba huo utakaoanza kutekelezwa siku kumi na nne kuanzia hii leo, utaipa kaunti ya nairobi shilingi bilioni 80 zaidi kuimarisha sekta mbalimbali jijini.