- 673 viewsDuration: 2:34Mashirika ya kijamii yanayohusika na uangalizi wa uchaguzi yametoa tahadhari kuhusu ghasia na fujo zinazoshuhudiwa kwenye mikutano ya kisiasa, zaidi ya mwaka mmoja kabla ya uchaguzi. Mashirika haya kwenye kikao na kamati ya bunge kuhusu uangalizi wa katiba yameelezea hofu kuwa wanasiasa wameanza kampeni mapema kinyume na kanuni za uchaguzi.