Skip to main content
Skip to main content

Wakristo waadhimisha jumatano ya majivu kuashiria mfungo

  • | Citizen TV
    306 views
    Duration: 1:51
    Leo ni Jumatano ya majivu ambayo huashiria mwanzo wa siku Arobaini za kujinyama, kusali na kuwasaidia wasiojiweza miongoni mwa waumini wa kikristo haswa wa kanisa katoliki.