Skip to main content
Skip to main content

Wagonjwa katika hospitali mbali mbali za kaunti ya Kajiado wamepata afuenii

  • | Citizen TV
    188 views
    Duration: 1:04
    Wagonjwa katika hospitali mbali mbali za kaunti ya Kajiado wamepata afuenii baada ya idara ya afya kupokea dawa za shilingi millioni 74m ambazo zimesambazwa kwenye hospitali mbali mbali za kaunti hiyo ya Kajiado.