- 294 viewsDuration: 3:08Wakaazi wa kaunti ya Makueni wameanza kutoa maoni yao kuhusu miradi wanayotaka itekelezwe na serikali ya kaunti hiyo kwenye bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2026/2027. Aidha wanasema ipo haja ya mgao wa kaunti kuongezwa ili kutatua maswala mengi yanayowakabili huku wakimtaka Gavana Mutula Kilonzo Jnr kuwajibikia fedha zinazopewa kaunti.