Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro amefutilia mbali kandarasi za miradi yote ambayo imekwama

  • | Citizen TV
    402 views
    Duration: 1:29
    Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro amefutilia mbali kandarasi za miradi yote ambayo imekwama kutokana na wanakandarasi kuchukua muda zaidi kukamilisha miradi hiyo. Gavana sasa ameanzisha mpango wa kukamilisha miradi iliyokwama kupitia kamati za mashinani. Akizungumza mjini Kilifi Mung'aro amesema kandarasi ndogo ndogo kama zile za ujenzi wa madarasa ya shule za chekechea na vyuo vya kiufundi, ujenzi au ukarabati wa zahanati na visima zikabidhiwe kamati za mashinani ili kukabiliana na kero ya ongezeko la madeni pamoja na ufujaji wa fedha.