- 590 viewsDuration: 2:11Wavuvi katika Kaunti ya Busia chini ya kikundi cha jamii cha Namalenga wamepiga hatua kubwa baada ya kuvua tani nne za kwanza za samaki kutoka katika mabwawa mapya yaliyoanzishwa chini ya mradi wa ustahimilivu wa mabadiliko ya tabianchi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia.