Skip to main content
Skip to main content

Nairobi: Wakazi wawili waelekea mahakamani kupinga mkataba kati ya serikali ya kaunti na ya kitaifa

  • | NTV Video
    1,414 views
    Duration: 4:31
    Wakazi wawili wa jiji la Nairobi wameelekea mahakamani wakitaka mkataba wa ushirikiano uliotiwa saini kati ya Serikali ya kaunti ya Nairobi, na Serikali ya kitaifa hapo jana kutupiliwa mbali. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya