Skip to main content
Skip to main content

Ruto, Sakaja washirikiana kukagua mradi wa bomba la maji taka Nairobi

  • | Citizen TV
    1,966 views
    Duration: 2:59
    Rais William Ruto na gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wamepigia debe ushirikiano wao wa kimajukumu huku wakiungana leo kukagua mradi wa ujenzi wa bomba la maji taka kando ya mto Nairobi katika eneo la Lucky Summer. Rais akitumia fursa hiyo kuwakashifu viongozi wa upinzani kwa kutishia kufanya maandamano siku ya ijumaa