- 1,657 viewsDuration: 3:39Ni matumaini mapya kwa wanandoa wasio na hali sawa ya maambukizi ya HIV, baada ya kenya kupokea sindano ya kuzuia maambukizi ya virusi hivyo. Dawa hiyo ya Lenacapavir inayodungwa mara mbili kwa mwaka imesifiwa kuwa ya matumaini makubwa katika mapambano dhidi ya ukimwi. Wataalamu wa afya wasema dawa hii ni mwanzo mpya katika uvumbuzi wa afya na mapambano ya HIV.