Skip to main content
Skip to main content

Shule ya msingi Nyacheki PAG, Kisii, katika hali mbaya, wanafunzi wakiomba msaada wa serikali

  • | Citizen TV
    1,228 views
    Duration: 3:26
    Jioni ya leo tunaelekeza darubini yetu ya elimu katika shule moja ya msingi ya umma katika kaunti ya Kisii ambayo hali yake si ya kuridhisha kabisa. Mbali na madarasa ya shule hiyo ya Nyacheki PAG kuharibika kabisa na wanafunzi kulazimika kusalia nyumbani kunaponyesha, walimu pia hawana hata ofisi ya hadhi. Sasa mamia ya wanafunzi wa shule hiyo wanaitaka serikali kuwaokoa