Skip to main content
Skip to main content

ODM yathibitisha mshikamano kwa uongozi wa Oburu Oginga licha ya pingamizi la ndani

  • | Citizen TV
    11,539 views
    Duration: 2:33
    Mwenyekiti wa ODM Gladys Wanga na Gavana wa Kakamega Fernandez Barasa wamesema kwamba wataendelea kumuunga mkono kinara wa chama hicho Oburu Oginga licha ya pingamizi kutoka kwa baadhi ya wanasiasa wa chama hicho. Kwengineko, wanasiasa wa UDA kutoka eneo la Magharibi wameendelea kumlaumu rais mstaafu Uhuru Kenyatta, kwa kuvuruga hatua ya ODM kuungana na ODM kwenye uchaguzi wa mwakani