Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa wawili wa ulaghai wa ajira TSC waachiliwa kwa dhamana

  • | Citizen TV
    609 views
    Duration: 59s
    Washukiwa wawili kwenye kesi ya ulaghai wa ajira za tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC, wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi millioni 3 au shilingi milioni 1.5 pesa taslimu