Skip to main content
Skip to main content

Harambee Starlets yaanza kambi ya mazoezi tayari kwa Kombe la Afrika

  • | Citizen TV
    176 views
    Duration: 1:09
    Timu ya taifa ya kandanda ya wanawake Harambee Starlets inaendelea na kambi ya mazoezi kujitayarisha kwa mchuano wa kombe la mataifa bora barani Afrika. Timu hiyo iliripoti kambini wiki iliyopita huku benchi ya kiufundi ikitaka kutathmini wachezaji wa humu nchini kabla ya kambi kamili kuanza