- 17,917 viewsDuration: 2:19Kufunga ni nguzo muhimu ya Uislamu, dini pia inalinda afya na ustawi waislamu. Hii hapa ni orodha ya makundi saba ya waislamu ambao hawafai kufunga katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani Leila Mohammed anaeleza #bbcswahili #ramadan #tanzaniatiktok Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw