- 407 viewsDuration: 2:11Waziri wa afya Aden Duale amesema kuwa walimu wanafaidi huduma za SHA baada ya kujiunga na bima hiyo kuanzia mwezi Disemba. akizungmza kwenye kikao cha bunge kuhusu bajeti , Duale amesema kuwa maafisa wa polisi watashirikishwa kwenye bima hiyo kuanzia mwezi Aprili. Duale amesema kuwa serikali imeokoa shilingi bilioni 8 tangu walimu kusajiliwa kwa SHA. Duale amesema kuwa wizara ya afya inahitaji shilingi bilioni 38 kufanikisha afya ya msingi.