Viongozi wa dini ya kislamu wakongamana jijini Mombasa

  • | Citizen TV
    895 views

    Viongozi wa dini ya kislamu wamekongamana Mombasa kujadili mustakabali wa taifa. Viongozi hao wanatazamiwa kutoa mwelekeo wao kuhusu baa la njaa na matatizo ya wakenya yanayowakumba katika milka ya kiarabu. Francis Mtalaki anaungana nasi mubashara kutoka Mombasa