Hofu ya kipindupindu Migori

  • | Citizen TV
    220 views

    Wakazi wa mji wa Migori wanalalamikia maji taka kutoka kwa mikahawa na sehemu za burudani katika eneo hilo. Kwa wiki tatu sasa wakazi hao wameishi wakihofia mlipuko wa maradhi ya kipindupindu kutokana na uchafu. Wakazi hao sasa wanaitaka mamlaka ya mazingira- NEMA- kuwachukulia hatua wafanyibiashara wanaoendeleza uchafuzi wa mazingira. Aidha wanaitaka serikali ya kaunti kujenga mabomba ya maji taka