22 Aug 2025 1:48 pm | Citizen TV 647 views Duration: 2:19 Serikali ya kaunti ya Kilifi mwaka huu wa kifedha itatumia takriban shilingi milioni 800 kuboresha barabara kulingana na kaimu katibu wa kaunti hiyo Philip Charo.