Skip to main content
Skip to main content

Mahakama Tanzania yakataa pingamizi la Tundu Lissu

  • | BBC Swahili
    8,074 views
    Duration: 28:11
    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, nchini Tanzania imeendelea leo hii, ambapo Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi lake aliloliwasilisha mnamo Septemba 8, 2025 akihoji endapo Mahakama hiyo ina mamlaka ya kusikiliza kesi ya uhaini. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw