22 Aug 2025 1:46 pm | Citizen TV 437 views Duration: 1:13 Idara ya msitu humu nchini imetangaza mpango wa kupanda miche nusu billioni ndani ya msimu huu wa vuli (short rains) kama njia moja kuongeza idadi ya miti na kusaidia kurejesha misitu mbalimbali zilizoharibiwa.