- 999 viewsDuration: 1:36Magavana watatu kutoka jamii ya maa katika kaunti za Kajiado, Narok na Samburu wamesema kuwa wataunga mkono mkono chama cha kisiasa ambacho kitatoa nafasi ya uteuzi katika bunge la kitaifa au Seneti kwa jamii ya Ilchamus inayotoka kaunti ya Baringo.