Skip to main content
Skip to main content

Jeshi la Sifuna latwaa Kakamega, lashtumu utawala war ais Ruto

  • | NTV Video
    32,016 views
    Duration: 3:52
    Kundi la ODM almaarufu ‘Linda Mwananchi’ linaloongozwa na katibu mkuu aliyetimuliwa Edwin Sifuna na gavana wa Siaya James Orengo hii leo wameongoza kongamano lao nyumbani kwa akina Sifuna katika uwanja wa Amalemba kaunti ya Kakamega. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya