- 41,808 viewsDuration: 3:20Mkutano wa mrengo wa Linda Mwananchi ulifanyika huko Kakamega licha ya kuwepo kwa hofu ya ghasia kuzuka. Viongozi wa Mrengo huo wakishikilia kwamba wataendelea kupigania haki za Wakenya na kwamba katu hawatojihusisha na Serikali ya Rais William Ruto na Mrengo wa Linda Ground wa chama cha ODM. Viongozi hao wameilaumu serikali Kwa machafuko na mauaji nchini pamoja na kuvuruga mikutano yao ya kisiasa