Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya mauaji ya vijana wawili kuendelea Septemba

  • | Citizen TV
    213 views
    Duration: 1:29
    Kesi ya mauaji ya vijana wawili waliouawa mtaani Eastleigh mwaka wa 2017 imeingia mapumziko ya wiki moja na kesi hiyo inatarajiwa kuanza kusikizwa tena tarehe moja mwezi septemba ambapo mahakama itakuwa inasikiza mashahidi zaidi