- 8,378 viewsDuration: 1:32Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amewalaumu viongozi wa chama cha DCP kwa kukosa kuwajulisha maafisa w apolisi kuhusu mipango yao ya kumkaribisha nchini aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua. Akizungumza huko Kirinyaga, Murkomen amekashifu matukio ya hapo jana ambapo genge la vijana liliwavamia wafuasi wa Gachagua na kuwajeruhi waandishi wa habari pamoja na raia waliokuwa kwenye shughuli zao