Skip to main content
Skip to main content

Kwanini ubaguzi wa rangi umekuwa sugu soka la kimataifa?

  • | BBC Swahili
    10,072 views
    Duration: 1:52
    Ubaguzi umeendelea kuwa donda ndugu katika soka la kimataifa. Tukio linalodaiwa kumhusisha winga wa Benfica, Gianluca Prestianni, dhidi ya Vinícius Júnior wa Real Madrid limezua mjadala mkubwa katika ulimwengu wa soka. Prestianni amekanusha tuhuma hizo, huku makocha wa Premier League wakitaka hatua kali zaidi dhidi ya ubaguzi ndani ya mchezo huo. Je, ni wakati wa kuchukua hatua madhubuti zaidi? @loko_omi anaelezea zaidi #bbcswahili #england🇬🇧 #fyp Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw