Skip to main content
Skip to main content

EACC imewasilisha majina ya magavana 3 kwa ODPP

  • | Citizen TV
    3,134 views
    Duration: 1:22
    Tume ya Kupambana na Ufisadi EACC imewasilisha majina ya Magavana watatu wa sasa na mmoja wa Zamani kwa afisi ya Mkurugenzi wa mashtaka ya umma kwa tuhuma za ufisadi na kuiba mali ya umma