Skip to main content
Skip to main content

Watu wanne waliteketea hadi kufa ndani ya nyumba kaunti ya Nyamira

  • | Citizen TV
    1,207 views
    Duration: 2:21
    Maafisa wa polisi wanachunguza kisa ambapo watu wanne waliteketea hadi kufa ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Nyamakoroto eneo la Kitutu Masaba, kaunti ya Nyamira.