Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la kwanza la Afrika lafanyika

  • | Citizen TV
    234 views
    Duration: 2:32
    Kongamano la kwanza la kutoa hamasa kuhusu matatizo ya kuandika na kusoma yaani dyslexia limefanyika hapa jijini Nairobi ambapo wadau mbalimbali wa sekta ya elimu, viongozi wanaobuni sera na walezi wa watoto wanaokabiliwa na matatizo hayo walielezea changamoto wanazopitia