22 Aug 2025 10:36 am | Citizen TV 249 views Duration: 1:55 Kaunti za Wajir na Mandera zimepiga hatua nyingine muhimu kuboresha elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum, Kupitia Mfumo wa elimu wa CBE