22 Aug 2025 10:32 am | Citizen TV 241 views Duration: 1:35 Viongozi wa jamii na wale wa kidini pamoja na wataalamu mbalimbali kutoka eneo la Gusii wameafikiana kuunganisha jamii hiyo, kwa lengo la kubaini mustakabali wake kwenye uchaguzi wa mwaka 2027