22 Aug 2025 10:29 am | Citizen TV 504 views Duration: 1:53 Zaidi ya vijana 2,000 wamejiandikisha kupata vitambulisho katika eneo la Shimoni huko Lungalunga kaunti ya Kwale kupitia zoezi la huduma mashinani lilotekelezwa na kituo cha huduma Kwale