Skip to main content
Skip to main content

Familia za waliouawa kwenye vurugu za siasa zazidi zalia

  • | Citizen TV
    992 views
    Duration: 2:57
    Familia mbili za waathiriwa waliouawa kwenye mikutano ya ODM katika eneo la Kitengela kaunti ya Kajiado na Mbale huko Vihiga sasa zinalilia haki. Familia ya Vincent Ayomo aliyeuawa kwa kupigwa risasi eneo la Kitengela ikitaka polisi kuwajibikia mauaji yake. Aidha, familia ya George Olande huko Kisumu ina ujumbe sawa kwa serikali kwa kifo cha jamaa yao...