- 152 viewsDuration: 1:18Kundi la vijana chini ya vugu vugu la youth for youths initiative wameanza kampeni ya kuhamasisha vijana kudumisha amani na kutokubali kutumiwa na wanasiasa kuvuruga amani. Wakizumgumuza mjini Oyugis vijana hao wamewarai viongozi walioko madarakani kudumisha amani wakati huu ambapo joto la kisiasa limeanza kupanda..