- 312 viewsDuration: 1:16Wakulima wa maembe katika eneo la Mwingi kaunti ya Kitui sasa wanalalamikia hasara wakisema mazao yao yanaoza. Wakulima hao wanasema wamepata mavuno mazuri msimu huu wa maembe ila mazao yao yanaoza huku sasa wakitaka serikali kuwatafutia soko ili kuzuia hasara zaidi. Wakulima wa eneo hili haswa wale walio katika kikundi Cha Nzeluni wamesema wamekosa kabisa soko la maembe yao