- 4,535 viewsDuration: 3:14Mshukiwa wa mauwaji ya shakahola aliyekiri makosa ameieleza mahakama ya mombasa jinsi alivyouza shamba lake nairobi na kujipata msituni shakahola. Enos amanya amefichuwa kwamba kulikuwa na zaidi ya watu 900 msituni na mfungo ulianza baada ya wazee wa baya mwaro kuwataka waondoke msituni. Na kama anavyoarifu francis mtalaki Amanya alishindwa kujizuia alipokuwa akieleza mahakama jinsi watoto wake walivyofariki.