- 1,298 viewsDuration: 1:37Wizara ya afya imeteua madaktari na wapelelezi kutoka katika baraza la kudhibiti madaktari -KMPDC kuanzisha uchunguzi kuhusiana na kifo cha mama moja alipo kuwa akijifungua katika hospitali ya St. Elizabeth Mukumu, Kakamega.