24 Feb 2026 8:18 pm | Citizen TV 696 views Duration: 1:16 Kinara wa chama cha UGM, Jaji Mkuu Mstaafu David Maraga, amegusia uwezekano wa kujiunga na wenzake katika upinzani, iwapo hiyo ndiyo itakuwa njia ya pekee kumbandua rais William ruto mamlakani.