Ni wakati wa kombe la dunia Qatar wikiend hii

  • | VOA Swahili
    3,631 views
    Wapenzi wa soka duniani wako tayari kabisa wiki hii kuangalia kinachoendelea huko Qatar wakati michuano ya kombe la dunia inapoanza wikiend hii.