Siku ya Choo Duniani I Asilimia 30 pekee ya wakenya wana vyoo vya viwango bora

  • | KBC Video
    17 views

    Siku ya choo duniani inaadhimishwa leo.Na huku Kenya ikiungana na ulimwengu kuadhimisha siku kuu hii, takwimu zinaashiria kuwa ni asilimia 30 pekee ya wakenya ambao wana vyoo vya viwango bora vya safi. Inakisiwa kuwa watu bilioni 3.6 wangali wakitumia vyoo duni kila siku. Uhamasishaji kuhusu usafi umekitwa kwenye lengo la 6.2 la malengo ya maendeleo endelevu ambayo yananuia kukomesha mtindo wa kwenda msalani kwenye vichaka na kufanikisha upatikanaji wa vyoo safi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #worldtoiletday #dirayamagwiji