- 18,553 viewsDuration: 28:16Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (FARDC) limethibitisha kuwa lilitekeleza shambulizi mjini Rubaya mashariki mwa nchi hiyo na kumuua msemaji wa kijeshi wa kundi la waasi la M23 Willy Ngoma. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw