- 9,069 viewsDuration: 8:45Rais Donald Trump amejisifu kuhusu mafanikio yake mwenyewe na kuwashambulia wapinzani wake kwenye hotuba yake kwa taifa. Katika hotuba hiyo, Trump amesema Marekani imerejea kwa kishindo kuwa nchi bora zaidi, tajiri zaidi na yenye nguvu zaidi kuliko hapo awali. Rais huyo alizomewa na baadhi ya wabunge kutoka chama pinzani cha Democratic. #DiraYaDuniaTV