Polisi Samburu wachunguza mauaji ya mwanamke ambaye mwili wake ulipatikana umetupwa barabarani

  • | KBC Video
    19 views

    Polisi katika kaunti ya Samburu wanachunguza mauaji ya mwanamke ambaye mwili wake ulipatikana umetupwa barabarani mjini Maralal. Wakazi wanashuku kuwa mwanamke huyo alinajisiwa kabla ya kuawa jumapili usiku. Taarifa zaidi ni kwenye mseto wa magatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News