- 43,233 viewsDuration: 3:28Wizara ya mashauri ya kigeni sasa imetoa tahadhari kwa wakenya walio mataifa ya mashariki ya kati yanaokumbwa na msukosuko kufuatia mashambulizi ya Iran. Waziri Musalia Mudavadi akiwataka wakenya kufika kwenye ofisi za ubalozi wa Kenya mataifa hayo kujisajili. Na kama Ode Francis anavyoarifu, safari za ndege za kuingia mataifa ya kiarabu kama himaya ya milki za kiarabu, Qatar, Bahrain na hata Saudi Arabia zimetatizwa.