- 38,054 viewsDuration: 3:58Ayatollah Ali Khamenei, aliyekuwa kiongozi mkuu wa Iran kwa miongo kadhaa, ameuawa katika mashambulio ya Marekani na Israel. Alikuwa mtu mwenye mamlaka makubwa zaidi nchini Iran zaidi hata kuliko rais kwa sababu ndiye mkuu wa nchi na kamanda wa majeshi yote, ikiwemo kikosi maalum cha Revolutionary Guards. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw