Mwanafunzi mmoja wa chuo cha TUM Mombasa ameripotiwa kupotea

  • | Citizen TV
    13,669 views

    Mwanafunzi mmoja chuo kikuu cha Tum mombasa ameripotiwa kupotea kwa Zaidi ya siku mbili baada ya purukushani iliyosababisha chuo hicho kufungwa. Mwanafunzi huyo alikuwa mmoja wa wale waliokuwa wanawania wadhifa wa kiongozi wa wanafunzi katika chuo cha TUM.