- 13,139 viewsDuration: 3:15Ubalozi wa Israel humu nchini umetetea hatua ya nchi hiyo kuishambulia Iran kwa ushirikiano na marekani, ikisema kuwa Iran ilikuwa inajiandaa kuunda zana za kiniuklia na kuwa inafadhili shughuli za kigaidi . Haya ni huku Urusi ikiingilia mgogoro huo na kuishtumu marekani kwa kubuni visingizio vya uwongo ili kuipindua serikali halali ya Iran. Mataifa mengine ya bara uropa , yakiwemo uhispania na ufaransa yamelaani uvamizi dhidi ya iran.